JonhMan: Yes it is - Swahili I believe - see below:
CHORUS
Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina!
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, milelea milele!
CHORUS
Ufalme wako ufike utakalo
Lifanyike duniani kama mbinguni. (Amina)
CHORUS
Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey!
Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, simama mwehu
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe.
(x2)
---------------------------------------------------------------------------
CHORUS
Our Father, Jesus, who art
in Heaven. Amen!
Our Father, Jesus
Hallowed be thy name.
(x2)
Give us this day our daily bread,
Forgive us of
our trespasses
As we forgive others
Who tresspass against us
Lead us not into temptation, but
deliver us from Evil, and you are forever and ever!
CHORUS
Your kingdom come, your will be done
On Earth as it is in Heaven. (Amen)
CHORUS
Give us this day our daily bread,
Forgive us of
our trespasses
As we forgive others
Who tresspass against us
Lead us not into temptation, but
deliver us from Evil, and you wake the dead (?)
Our Father, Jesus who art...
Hallowed be thy name.
(x2)